Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Nipe Connection ya Lugumi anunue hili eneo, ni zuri sana,
Ukubwa ni Eka 5+
Liko mbezi mwisho upande wa Magufuli
Njia ya kwenda msakuzi
Au unapandishia yale mataa ya Luguruni,
Eneo lina hati na ni kubwa
Kuna gorifa pia ambayo inaendelea kujengwa
Bei ni 1.3B
Eneo linafaa kwa kila wso la tajiri analowazia
*MNYATURU* nimelikagua mwenyewe
Njoo tajiri tumalize
Au mlete tajiri alipie #068491594 #0716974073