Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BEI YA KUTUPA KWA NIABA YA BANK MBEZI MWISHO MSHIKAMANO ST (UBUNGO MUNICIPALITY )
Ina Vyumba Vyumba Viwil Juu Vyote Self Contained,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,150
Umbali: Sio Mbali Kutoka Magufuli Bus Terminal
Bei : 35 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000
Call&watsapp 0769279936