Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Je unahitaji kiwanja maeneo ya Mbezi Msumi?
Mradi huu upo kilomita moja kutoka stand ya daladala ya Mbezi msumi
Bei ni kuanzia 16,000,000/= na kuendelea na unaweza kulipa kwa cash au kwa awamu
Kwenda site ni bure siku saba za wiki na ukimaliza malipo hati ni bure
Wasiliana nasi leo tukupeleke site ambapo kuna huduma zote za kijamii
#onlyqualities