Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
TSHS 450/ STAND ALONE . INAUZWA-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 900
__________________
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba Vinne vya kulala 3Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
Garden
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! π€
____
BEI INAUZWA TSHS ML 450
Maongezi yapo