Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


#NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI MBEZI MWISHO NJIA YA MSUMI
IPO MBEZI YA KIMARA MSUMI MANISPAA YA UBUNGO DAR
Ina Vyumba Vinne (4) Kimoja self, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Umbali: Meter 200 Kutoka Barabara kuu ya msumi inayopigwa lami
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 85 Million #MAONGEZI_YAPO
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Tupigie
#0652472014
#0754344786