Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam




KIWANJA CHAKUKATA,SQM.600,TSHS.70 MILIONI, MBEZI-AFRIKANA.
Hapa ni kuwa Mmiliki anakata (kugawanya)
Eneo lake kubwa LILILOPIMWA.
Eneo ni tambarare, linafikika kiurahisi na ni jirani na Barabara ya Lami.
Umbali wa wastani wa mita 400 kutoka Barabara ya Bagamoyo na Mita 100 tu kutoka Lami inayopandisha kutoka Mataa ya AFRIKANA, MBEZI UPANDE WAJUU.
Sehemu ni tulivu.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________Abl/dv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.