Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
BEI: MILLION 95 /MAONGEZI YAPO
ILIPO: MBEZI MAKABE
✅ SEBULE KUBWA
✅ DINNING ROOM
✅ VYUMBA VITATU VYA KULALA, MASTER BEDROOM MOJA
✅ JIKO KUBWA
✅ CHOO CHA PUBLIC
✅ UKUBWA WA ENEO NI 600 SQM
KUPELEKWA NI 30K UTAKAGUA NYUMBA SIO CHINI YA 3 ZENYE HADHI SAWA NA HII
☎️0788077337 ☎️0625637254