Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Plot ipo mbezi kwa Yusuph kwenye round about pembeni ya dubai petrol Ina ukubwa wa Mita 25 kwa 15 bei 180m mazungumzo kidogo
inafaa kujenga frem kuanzia frem 12 Kama za chini ukiamua kujenga na za juu zitakua 24…
ni eneo linafaa sana kwa biashara
Kuonyeshwa site 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258