Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa kipo njia ya mbezi to goba kituo kwarobati.
Kiwanja kimepimwa na becon tayari zimewekwa bado process ya kumalizia kupata Hati miliki
Ukubwa ni square meters 600
Umbali kutoka lami ni km Moja kasoro
Bei milioni 37 maongezi yapo
Piga 0745559598