Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA YA GHOROFA INAUZWA NA BANK BEI POAA
IPO MBEZI BEACH GOIGI DAR-ES-SALAAM-TZ
INA VYUMBA V3 KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, DINNING NK NJE KUNA SERVANT QUARTER YA ROOM MBILI
ENEO SQM 374
BEI MIL 250 CHAP
UMILIKI HATI (TITTLE DEED)
UMBALI TAKRIBANI KM 1 TOKA BARABARA KUU BAGAMOYO
SERVICE CHARGE ELF 30
KARIBU SANA MTEJA
TUPIGIE +255 746 433 854