Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM. 650, TSHS.80 MILIONI, MBEZI-JOGOO
UPANDE WA JUU.
Hiki ni Kiwanja kizuri kwaajili ya Makazi.
Eneo ni MBEZI-JOGOO/UPANDE WA JUU.
Mazingira tulivu, kinafikika kiurahisi na usalama upo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
_______________abl