Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbezi makabe
Inavyumba 3
Kimoja master
Sebule
Daingi
Jiko xur
Pia inajiko lanje
Nyumba inaeneo kubwa
Sqm 600
Parking gari 4
Bei milioni 95 maongezi yapo
Kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia
0713486848
0754486848