Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA MILIONI 5 KIPO MBEZI MALAMBA DSM.
__________
BEI ML 5 MAONGEZI KIDOGO
UKUBWA MITA 20×10
KIWANJA NI TAMBARARE NA KIPO BARABARA KUBWA UNAWEZA KUJENGA FREMU KWA MBELE
HUDUMA YA MAJI DAWASCO NA NGUZO YA UMEME IPO KARIBU SANA
KIWANJA KIPO UMBALI WA KM 2 TOKA BARABARA YA LAMI.
___________
KIWANJA HAKINA MGOGORO WOWOTE NA MWENYE KIWANJA NDO ANAUZA MWENYEWE
MAUZIANO NI YA SERIKALI YA MTAA
____________
KUONA KIWANJA NI TSH 15000/=
0679062127