Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM.4000, TSHS.250 MILIONI, MBEZI-INN.
Kiwanja kimezunguukwa na Majumba.
Unaweza kuwekeza Mradi wa Apartments,
Hotel, Shule, Ukumbi wa Shughuli nk.
Umbali wa mit 200 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Na ni jirani na Chuo cha Mt. Joseph.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM.4,000.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg