Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI NDANI YA ENEO MOJA ZINAUZWA MBEZI MWISHO (UBUNGO MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu Viwil Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Pia Nyumba Ndogo Ya Ghorofa Ina Chumba Self Contained,Sitting &Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 600
Sio Mbali Kutoka Kituo Cha Mabasi Magufuli Bus Terminal
Nyumba Ya Kisasa Sana Full Electronic Fanced
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 120 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000 /=
#0769029970
#0652573978 whatspp