Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


HAYA SASA PUNGUZO LA BEI KUTOKA 45ML MPAKA 37ML 🔥
NYUMBA NZURI INAUZWA BINAFSI
IPO MBEZI KWA MSUGURI..DAR ES SALAAM TANZANIA
💥BEI YAKE MILION 37, MAONGEZI YAPO KIDOGO..
SIFA ZA NYUMBA:..
VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM.
SEBULE KUBWA
DINNING.
JIKO
PUBLIC TOILET & BATHROOM
UMEME UPO..
BADO TU KUVUTA MAJI SAFI DAWASA..
UKUBWA WA KIWANJA (20X10) SQM 200.
UMILIKI MKATABA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA..
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE, LAKINI GARI HAIINGII
SERVICE CHARGE ELF 30
🇹🇿📞 0746 433 854