Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI MWISHO MSAKUZI (UBUNGO )
Ina Vyumba Vitatu (3) Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Ya Vyumba Vitatu (3) Kiwanja Master,Dinning,Sitting, Kitchen&Public Toilet Na Garage Ya Kulaza Magari Mawili Yenye Gate Lake
Full Electronic Fanced Stand-by Solar Power backup System
Kuna Mfumo Wa Kuvuna Maji Ya Mvua Tank Kubwa Unaweza Kujaza Maji Ya Kutumia Mwaka Mzima Na Automatic Water Pump Ya Ku Supply Maji Nyumba Nzima
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Nyumba Ipo Mtaa Mzuri Eneo Kubwa Yenye Garden Nzuri Sana
Bei : 160 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=
#0758998074π
#0689138795whatsapp