Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
PAGALE ZURI SANA LA KISASA LINAUZWA 📍 PAGALE LIPO MBEZI MWISHO CENTAR
◇PAGALE LINAFA LODGE ARPATIMENT, HOTEL ,BAR ,SHULE AU NYUMBA YA KUISHI
◇UMBALI MITER 200 TU KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD AU MBEZI CENTAR
◇UKUBWA WA ENEO SQMT SQMT 3500
◇DOCUMENT: CLEAN TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇BEI TSH MILION 120 MAONGEZI YAPO
◇PAGALE HILI UKIWEKA LODGE PANAFAA SANA UTAPIGA HELA SANA
◇NOTE - MTEJA SILIAZI TUKUTANE SITE AU KWENYE PAGALE TUMALIZE BIASHARA