Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA.
IPO mbweni mpiji,,,yakisasa,,inahati miliki,,,ukubwa wajiwanja SQM 700,,IPO ndani yafence,,nyumba inavyumba vitatu vyakulala,,vyote master,,nachumba chakusomea,,madirisha yavioo,,milango,,tiles,,bado peving na PVC nje,,BEI yake milioni 100 maongezi yapo,,mtaa umepangiliwa kwamuongozo waserikali,,ndugu mteja,,kuwa huru kuja kuona nyumba hii,,BEI inapungua wala usiogope,,muhimu kuja kuona,,tunawapenda nakuwajali sana wateja wetu,,,
MAWASILIANO.
0657649176.
WhatsApp.
0653956218.
MTEJA KWETU NIMFALME.
NYOTE MNAKARIBISHWA.