Plot for sale at Miganga, Singida


Dodoma #miganga ni mbele ya chuo kikuu ya St. John na inapakana na shule ya St. Marry Chidachi
km 7 kutoka mjini
kiwanja kimepimwa na kina nyaraka zote
Bei yake 5 million (zaidi zaidi nipigie 📞)
ukubwa: 548 m²
matumizi: makazi 🏡 ✅
nyaraka: zote zipo 📃
kitaru: #G miganga
karibu kuona site ni buure kabisa, karibu tuone
usafiri mpaka site upo 🚗💨
nipigie kwa 0767 80 90 79
Whatsapp na kawaida
office: Independence square, akiba bank 1st floor
esari real estate