Plot for sale at Mikese, Morogoro

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 1,000,000

π’π‡π€πŒππ€ π‹πˆππ€π”π™π–π€

Hili shamba lina π—›π—˜π—žπ—” 100...
πŸ“lipo Mikese kilometa 9 kutoka barabara kuu. Lina vitu vifuatavyo;

1. Lina miti ya mitiki heka 10
2. Minazi heka 5
3. Michungwa heka 5
4. Lina mto mdogo unapita na una maji yasiyokauka mwaka mzima
5. Ipo migomba kadhaa
6. Una sehemu yenye mazingira mazuri kwaajili ya kutengeneza bustani.
7. 50% ya shamba limesafishwa kwa maana ya kutolewa visiki
8. Kuna nyumba 4 kwaajili ya wafanyakazi
9. Hati miliki ya shamba ipo katika hatua za mwisho
10. Bei Tsh 1,000,000 kwa kila heka.

𝗑𝗕: π–ͺπ—Žπ—π–Ύπ—†π–»π–Ύπ—…π–Ύπ–Ί π—Œπ—π–Ίπ—†π–»π–Ί 𝖺𝖽𝖺 π—§π˜€π—΅.30,000/=

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—›π—œπ—§π—”π—π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—’π—‘π—šπ—˜π—­π—œ π—­π—”π—œπ——π—œ π—œπ—Ÿπ—œ π—žπ—¨π—£π—”π—§π—” 𝗦𝗛𝗔𝗠𝗕𝗔 /π—žπ—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

𝗠𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—”π—‘π—’
𝖒𝖺𝗅𝗅 /π–Άπ—π–Ίπ—π—Œπ—‰π—‰
πŸ“²0785-517158
πŸ“²0678-517158

MshiuProperties Morogoro🦺
mshiurealestatetz
MshiuProperties Morogoro🦺

Similar items by location

Plot for sale at Mikese, Morogoro

Sh. 1,000,000

π’π‡π€πŒππ€ π‹πˆππ€π”π™π–π€Hili shamba lina π—›π—˜π—žπ—” 100... πŸ“lipo Mikese kilometa 9 kutoka baraba...

Farms for sale at Mikese, Morogoro
  • Agriculture
  • Project

Sh. 100,000,000

Shamba linauzwa Mikese - Morogoro. πŸ“Lubungo- Mikese Liko umbali wa Mita 800 kutoka Barabara kuu ya ...

Farms for sale at Mikese, Morogoro
  • Agriculture
  • Project

Sh. 100,000,000

Shamba linauzwa Mikese - Morogoro. πŸ“Lubungo- Mikese Liko umbali wa Mita 800 kutoka Barabara kuu ya ...