Plot for sale at Miyuji, Dodoma


KIWANJA KINAFAA KWA APARTMENT AU MAKAZ KINAUZWA MIYUJI PROPER JIJIN DODOMA
Eneo ukubwa ni 958 sq.m
Eneo limejengeka
Kinatazama barabara ya mita 15
Kinafaa kwa APARTMENT au MAKAZI
Bei ni Tshs. 27,000,000/= ( milioni ishirini na saba tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"