Plot for sale at Mjimwema, Dar Es Salaam


Nyumba ipo mjimwema kigamboni Ina vyumba vitano vitatu masters sitting room dining room jiko stoo na public toilet bei milioni 300 ipo mita 100 Toka barabara ya lami kiwanja kina sqm 2246 hati haijatolewa kuepusha garama za transfer