Plot for sale at Mjini, Ruvuma


Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini
Eneo ni Kikuyu South Extension
Sifa za kiwanja
>km 4 kutoka Dodoma mjini
>Mita 300 kutoka SGR
>Kiwanja kina HATI
>Hakina mgogoro
>Ukubwa ni sqm 1355
>Kinafaa kwa makazi na biashara
>Kipo karibu na barabara
Bei mil 45(mazungumzo yapo)
Kwenda site kuona Kiwanja ni bure na kila siku
0768 333 054