Plot for sale at Mjini, Ruvuma


ENEO LA UKUBWA WA SQM 10,400 LINAUZWA
lipo Mbwanga Dodoma mjini, lina kisima kirefu cha maji mita 180
Miti ya matunda ya miembe, parachichi, minazi, Migomba na aina nyingine ya miti mbalimbali inayo fikia 300,mabanda ya kufugia kuku takriban 6000,
Mfumo wa umwagiliaji wa matone,
Nyumba moja ya vyumba 2, sebule na jiko iliyokamilika, nyumba za wafanyakazi, banda la kufugia ng'ombe na fensi ya wire nusu ya eneo lote
Eneo limepimwa na lina offer ya Halmashauri ya jiji la Dodoma.
BEI - ULIZA
+255 (0) 752444581