Plot for sale at Mjini, Ruvuma


KIWANJA KINAUZWA MLIMWA "C" KIPO KATIKA MZUNGUKO WA FENSI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA
Mahali; Mlimwa C
Eneo ukubwa; 778 sq.m
Sifa; Kina HATI
Jirani na mjini
Eneo limejengeka
Maii/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei; 115,000,000/= ( milioni mia moja na kumi na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;;
houaing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"