Plot for sale at Mjini, Ruvuma
Kiwanja kizuri kinauzwa Swaswa -Dodoma
SIFA ZA KIWANJA :
▶km 5 kutoka Dodoma mjini
▶Kina ukubwa wa sqm 490
▶Kina hati
▶Kiwanja cha tatu kutoka lami
▶Maji,umeme,barabara ya lami hadi site
▶Bei mil 18
▶Kinafaa kwa makazi na biashara ie apartment, flemu za biashara
▶Hakina migogoro
Kwenda site kuona kiwanja ni bureee na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054