Plot for sale at Mkonze, Dodoma
KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA MKONZE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 800 sq.m
Kina HATI
Cha kwanza lami
Maji/Umeme upo
Kikubwa
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 30,000,000/= ( milioni thelasini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"