Plot for sale at Mkwaja, Tanga






π΄ BEACH PLOT YA EKARI 40 INAUZWA β MKWAJA, PANGANI (TANGA) π
β
Fursa adimu ya kuwekeza eneo la baharini linalotazama Zanzibar! πΉπΏβ¨
ποΈ Milki ekari 40 za ardhi yenye mchanga mweupe wa bahari, zenye minazi mingi π΄ β eneo bora kwa:
π¨ Hoteli ya Kifahari | π‘ Villa | ποΈ Cottages | ποΈ Beach Resort
π Mahali: Mkwaja, Pangani (karibu na Bandari ya Mkwaja)
π€ Ukaribu na Zanzibar: Takribani km 25 pekee!
Usiku unaona taa za Zanzibar, na kuna boti za watalii zinazofika mara kwa mara β΅
π Sifa ya Ziada: Lipo karibu na bandari ndogo
π Nyaraka: Title Deed safi kabisa
π° Bei: π΅ USD 600,000 (Mazungumzo kidogo yapo π€)
π Wasiliana Nasi Leo!
π² Call: +255 764 000 725 | +255 714 514 815
π§ Email: info@goproperty.co.tz
π Website: www.goproperty.co.tz
βInvest Smart β Live Betterβ π




