Plot for sale at Msalato, Dodoma
HABARI NJEMAA WAPENDWA WANGU HII NI ZAID YA OFFA NAWALETEA WAWEKEZAJI.
KARIBU UWEKEZE APA KIWANJA KIZURII KIKUBWA SANA.
KINAUZWA BEI SAWA NA BUREE 👉🏼TSH MILLION 1150 TUH (maongezi yapo)
UKUBWA SQM 2500
DOCUMENTS HATI (HAKINA DENI WALA MGOGOLO ANAUZA MMILIKI MWENYEWE.
LOCATION - DODOMA MSALATO MAGEREZA
UELEKEO WA UWANJA WA NDEGE MPYA MKUBWA WA KIMATAIFA.
PIA JILAN NA MNADA WA NYAMA. JILAN NA MAKAO MAKUU YA JESHI MAKUTUPOLA NA UELEKEO WA CHUO CHA MIPANGO.
HUDUMA ZOTE ZIPO MAJI & UMEME
KIWANJA KINA BARABARA 2 MBELE NI BARABARA KUU YA ARUSHA NYUMA BARABARA KUBWA YA MTAA
Panafaa kwa aina yoyote ya uwekezaji wa kibishara eneo limechngamka sanaa pia kumejenga kisasa sanaa.
MIFANO BADHII YA UWEKEZAJI NI KAMA SHELL, HOTEL, MALL & SUPERMARKET, RESTAURANT & BAR
NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENTS)NA FLEM ZA MADUKA AU NYUMBA YA KUISHI
UMBALI TOKA KIWANJA HIKI KILIPO MPAKA DODOMA MJINI NI KILOMETER 15
Mawasiliano zaid
Piga simu au watsApp 0718436694
Gharama ya Kwenda site ni Tsh Elfu 20,000/=
BEI N TSH MILLION 150,000,000/=
KARIBU SANAA MPENDWA UONE ENEO TUZUNGUMZE BIASHARA.