Plot for sale at Msalato, Dodoma


MSALATO KARIBU NA AIRPORTS
Kuna nyumba au Pagale linaloishia kwenye Lenta ina vyumba vitatu kimoja master, sebule, dining, public toilet, store na jiko
Maji yalishavutwa mita ipo nje
Kimepimwa, umeme nguzo ipo kwenye mpaka wa kiwanja
Bei📍 20 Mil
Karibuni