Plot for sale at Msingi, Singida


Jambo la kwanza ukiwa unataka kununuwa eneo ni location bila shaka, lazima ujiulize apa ni sehemu bora kwa mimi kununua au laa...
Kwa sababu io basi nami nakuletea kiwanja amabachk kipo location nzuri kabisa. Kiwanja hichi kipo mtaa wa kwanza baada ya lami ivyo panafikika bila ata shida.
Kimezungukwa na majirani waliojenga nyumba standard sana na kuingeza thamani ya eneo kwa ujumla.
Kwa makazi binafsi hapa ni sahihi kabisa, pametulia na hakuna gasia za apa na pale n.k. Huduma za msingi za kijamii pia zinapatikana masaa 24.
Ukibahatika kufika huwezi kuwa disappointed. Karibu sana ndugu mteja.
Ukubwa: Sqm 900
Bei: Mil 90
Muhitaji piga 0688 412 890.