Plot for sale at Msongola, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA
___________
LOCATION: MSONGOLA
Km 2 kutoka Main Road.(Bagamoyo Road)
___________
KIWANJA: Kina M 32 X M 25.
Ndani ya Kiwanja kuna Boma la Vyumba Viwili
Kiwanja hakijapimwa ila Kina Hati ya Mauziano.
Kiwanja kipo Tambalale na Huduma za Kijamii zote zipo karibu.
___________
BEI: TSH MIL 55. Ila maongezi yapo.
Call/WhatsApp: 0687800788