Plot for sale at Mtoni, Dar Es Salaam
Hiki Kiwanja kinapatikana MTONI KIJICHI, karibu na Msikiti wa Al firdous Kijichi. Ni mita 300 toka Stendi Mpya ya Kijichi. Ni Kiwanja kizuri sana na Bei yake ni Milioni 28 tu.
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 850 . Hiki kinafaa sana kwa Ujenzi wa nyumba ya kupangisha, au nyumba ya wageni (Guest house )Kwa sababu kiwanja ni kikubwa sana.
NB: Kiwanja kilipo kidogo kuna uswahili fulani na sio ushuani, lakini kizuri na bei ni ya kutupa.
karibu sana 0711677199/0744847199…