Plot for sale at Mtumba, Dodoma


KIWANJA CHA SHELL/PETROL STATION KINAUZWA MTUMBA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 3,509 sq.m
Kina HATI
Kina kibali cha ujenzi
Kina kibali cha PETROL STATION
Kina kibali cha NEMC
Kipo kilometre 20 kutoka mjini
Bei ni Tshs. 320,000,000/= ( milioni mia tatu na ishirini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"