Plot for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam
Hii ni fursa kabambe kabisa na tumeamua kuipeleka mpaka maskani kwa bajaji na boda boda
Kuendelea kutoa umuhimu na Elimu juu ya umuhimu wa kumiliki Ardhi iliyopimwa📝📝
Mradi huu upo Chalinze-Pingo
Bei ya sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu
Malipo ya mwezi ni Tsh.67,000 tu kila mwezi kwa muda wa miezi 12
Mradi huu umepimwa na Ramani zote ziko Approved na Halmashauri
Mradi huu upo km 4 tu kutoka barabara kuu
Mradi huu umepakana na kiwanda cha tiles cha Twyford
Nb:kila jumamosi tunakwenda kutembea miradi yetu, weka booking ya safari yako mapema ili kuweza kuungana
Nasi.
Tupigie No. ☎️ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala