Plot for sale at Mwarusembe, Pwani


Eneo linapatikana LAKE MANZI MWARUSEMBE MKURANGA.
📍Mita 60 za kutokea ziwa zimetolewa
📍Eneo limepakana na ziwa manzi( limeshika maji)
📍Eneo linafaa kujenga nyumba ya ndoto
📍Linafaa camping site
📍Linafaa kwajili ya kilimo na ufugaji
📍Umbali kutoka barabarani ni KM 1.5 tu
📍eneo lina mazao ndani
📍kutoka DSM ni km 48
📍document: hati ya mauziano
Bei yake heka ni TSH 14,000,000 jumla lina heka 2.5
UTARATIBU WA SITE TUPIGIE au WHATSAPP 0785367831
GHARAMA YA SITE VISIT NI TSH 30,000

