Plot for sale at Mwongozo, Tabora


Lina ukubwa wa sqm 27,100.
Eneo lipo mwongozo limezungukwa na barabara 3 na ni barabara pana sana
Limezungushiwa lote ukuta
Kuna jengo la godawn kubwa sana
Kuna jengo moja ground floor na first floor. Kuna umeme wa three phase na kuna visima viwili. Pia lina hati
Bei ya kiwanja USD 4,500,000.( Milioni nne na laki tano)
SIo mbali na barabara kubwa
Lina mageti 2 unaweza kuingilia barabara ya chini .au huku juu. Na ukitoka barabara kubwa kingia lilipo eneo sio mbali. Hiki kiwanja matumizi ni hotel ila kama hupendi hotel unabadilisha