Plot for sale at Nala, Dodoma


*KIWANJA KIKUBWA SANA CHA KWANZA LAMI SQUARE METER 36,000, NAKIUZA NALA DODOMA MJINI*
KIWANJA KIMETAZAMA BARABARA KUBWA YA LAMI IENDAYO SINGIDA.
- Kipo NALA DODOMA MJINI mbele kidogo baada ya kuvuka Round About ya Ring Road
- Eneo lipo mahali pazuri na kwenye makazi yaliyojengeka vizuri, limesafishwa lote
- Ukubwa: SQM 36,000+
- Zaidi ya HEKARI 8
- Documents : HATI
๐ *BEI BILIONI 1.2*
KARIBU TUKUHUDUMIE ๐ค