Plot for sale at Ngorongoro, Arusha


*Eneo la Ekari 8 lenye view ya Hifadhi ya Manyara na Ziwa Manyara linauzwa Manyara Kibaoni*
*Distance* Kutoka Barabara ya lami Arusha Ngorongoro ni 5 km na Kutoka site mpaka geti la Ngorongoro ni 24 km
*Neighborhood* Mawemawe Lodge, Safari Land, Moonbow Lodge na Flamingo Chemchem
-Eneo lina slope nzuri inayopelekea view nzuri ya Ziwa Manyara pamoja na Hifadhi ya Manyara
*Eneo linafaa kwa uwekezaji wa Lodge, Hotel, Tented Camp*
-Plot size Ekari 8
-Document: Surveyed
*Bei shilingi milioni 250 maongezi kidogo
Simu:0621488071