Plot for sale at Nkuhungu, Dodoma
KIWANJA KIZURI KINAUZWA
NDACHI (SINGIDA ROAD)
Sifa za Kiwanja
Kipo mita chache kutoka singida Road
• Kiwanja kina Hati
• kinafaa kwa makazi au biashara (apartament, Lodge hata
Hotel
• Huduma za kijami kama Maji na umeme yapo
Ndachi ni jirani na Nkuhungu
Kuna ukubwa wa sqm 1200
Bei ni milion 15 nayo utalipa kwa awamu mbili
Changamkia fursa hii, usafiri wa kwenda na kurudi site ni bure kabisa. Tembelea ofisi zetu zilizopo karibu na Chama cha Biblia au piga simu 0767 865 054 au 0655 591 155