Plot for sale at Ntyuka, Dodoma


Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (SGR)
Eneo:Chidachi Ntyuka
SIFA ZA KIWANJA
đź“ŚKiwanja kimepimwa
đź“ŚKm 5 kutoka Dodoma mjini
đź“ŚKm 1 kutoka SGR
đź“ŚKaribu na Eneo la chuo cha Mwl Nyerere Memorial
đź“ŚUmeme,maji na barabara vipo hadi site
đź“ŚPamejengeka kwa kufata ramani
đź“ŚMajirani wapo tayari
đź“ŚKinafaa kwa makazi na biashara
đź“ŚUkubwa ni sqm 600
đź“ŚBei mil 14.5
đź“ŚMalipo ni cash na awamu
Kwenda site kuona kiwanja ni bure kabisa
Mawasiliano: 0768 333 054