Plot for sale at Ntyuka, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI
Location : Chidachi Ntyuka karibu na Sgr
Sifa za kiwanja
👉Kiwanja kimepimwa na kina hati
👉Km 1 kutoka stesheni Sgr na Iringa Road
👉km 5 kutoka Dodoma mjini
👉kina sqm 735
👉Document - HATI
👉maji, umeme na barabara vimefika hadi kwenye kiwanja
👉Kinafaa kwa nyumba ya kuishi, apartment, lodge au flem za biashara
👉Majirani wapo tayari
👉Bei mil 15.5
Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054