Plot for sale at Ntyuka, Dodoma
Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini-Chidachi Ntyuka
Sifa za kiwanja :
✔kiwanja kimepimwa kina Hati
✔Ukubwa sqm 600
✔Karibu na Stesheni ya SGR, na chuo cha Mwl nyerere
✔Karibu na hospital ya DCMC Ntyuka
✔km 5 kutoka Dodoma mjini
✔Maji, umeme, barabara vipo
✔km 1 kutoka barabara ya lami
✔Bei mil 13( malipo kwa miezi mitatu)
Huduma ya kwenda site ni kila Siku ndani ya Wiki
Nipigie simu leo nikupeleke site bure kabisa
0768 333 054