Plot for sale at Ntyuka, Dodoma


*OFA YA LEO* Kiwanja kikubwa kizuri Ntyuka. Umbali 10 km toka mjini kati. Kiko tambarare yaani hakuna korongo. Bei ni sawa na bure ni Tsh mil 3.5 cash (au mil 4.5 kwa kulipa kwa awamu, kianzio mil 2)
Ukilipa cash, unapata ofa ya *HATI* bure (yaani ofisi itafuatilia bila malipo ya ziada). Mawasiliano 0713951382 au fika ofisini kwetu Ntyuka mkabala na ofisi ya mtendaji wa kata.
Epuka sold out❌ Wahi kiwanja Ntyuka💪