Plot for sale at Nzuguni, Dodoma


Karibu viwanjasuper_dodoma
Tunakusogezea kiwanja hichi adhimu:
Kiwanja kipo Nzuguni opposite na stand ya mabasi ya mikoani (nanenane)
Kiwanja kina ukubwa wa 4011SQM
Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya hotel, lodge, hall, biashara n.k
BEI ni TSH 280M (MAELEWANO YAPO)
Karibu uwekeze ndani ya jiji la Dodoma, hutojutia kuwekeza katika eneo hili.
Tupo hapa kwa ajili ya kukusogezea fursa za kubadilisha na kuendeleza maisha yako, miliki ardhi na sisi.
Contact: 0762847835
Cc
megajoh_
magari_for_you
jobestz_official