Plot for sale at Nzuguni, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 700 KUTOKA LAMI KINAUZWA NZUGUNI BLOCK DD MPAKANI NA KISASA MWANGAZA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 660 sq.m
Kina HATI
Maji/Umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI
Kipo mita 700 kutoka lami
Bei ni Tshs. 23,000,000/= ( milioni ishirini na tatu tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"