Plot for sale at Nzuguni, Dodoma


NI MCHONGO WA KIWANJA SUPER
Karibu viwanjasuper_dodoma upate kiwanja hichi adhimu kabisa.
Kiwanja hichi kipo Nzuguni opposite na stand ya mabasi ya mikoani (nanenane)
Kiwanja kina ukubwa wa 4011SQM
Kina hati miliki kabisa, hakina ubabaishaji
Kinafaa kwa matumizi ya hotel, lodge, hall, biashara n.k
BEI ni TSH 280M (MAELEWANO YAPO)
Karibu uwekeze ndani ya jiji la Dodoma, miliki fursa hii mapema kwa ajili ya sasa na badae.
Changamkia fursa hii ili ubadili maisha yako, sisi tunakusogezea mchongo wenye tija na faida.
Contact: 0762847835
Cc
megajoh_
magari_for_you
jobestz_official