Plot for sale at Pamba, Mwanza


Mradi huu upo karibu na ofisi ya Mawakili- MAWALA
✨Kilometa 1.5 kutoka village Supermarket/Shopping Centre.
✨Kilometa 1.5 kutoka TANAPA Head Office.
✨Kilometa 2 kutoka St.Constantine School.
✨Kilometa 5.2 kutoka Arusha Airport.
•Bei kwa Kila Kiwanja chenye ukubwa Sqm 1001: ni Sh. 150,000,000/= tu ( Milioni Mia Moja na hamsini tu.
•Kila kiwanja kina hati yake inayojitegemea.
𝗕𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗬𝗮 𝗦𝗶𝗳𝗮 𝗭𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗼
✅Eneo liko sehemu nzuri sana kwa Arusha na limezungushiwa uzio mzuri ,eneo lina mageti mawili makubwa ya kuingilia/kutoka,walinzi wako muda wote masaa 24/7.
✅Limezungukwa na bustani nzuri za maua mbalimbali.
✅Huduma zote sahihi kama maji na umeme zipo muda wote.
✅Panazungukwa na miti kwa sehemu kubwa,inayotengeneza hewa nzuri nyakati zote.
✅Kuna makazi mazuri,yenye kufuata mpangilio sahihi wa mipango miji.
✨PIA, Tunatoa huduma ya Upimaji wa maeneo na Kufatilia Hati Miliki Kutoka Wizara ya Ardhi kwa gharama nafuu.
☎️ Wasiliana nasi kupitia namba: |+255 744 006 001|. |0777 403199|.
📍Ofisi zetu zinapatikana: Posta, Pamba House ghorofa ya Pili (2nd Floor).
CCPL 🔥EXPERT BETTER PROPERTY WITH US 🔥
#ccplviwanjaarusha#mountmeruview#viwanjaarusha#surveyedplot#gobacenternaccpl#ccplsurveyedplot#chapchappointrealestate#ccplaffordableplotinvestment#viwanjagoba#upimajinaramani#pimakiwanjanachapchap#wekezakatikaardhisalama#chapchaprealestateservice#chapchapviwanjakigamboni#chapchapviwanjamadale#chapchapviwanjakibaha#hati#titledeed#surveyedplotservicesccpl.