Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA PUGU ROAD CHANIKA TALIANI KITUO (ILALA MUNICIPALITY)
1. Nyumba inaumbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami
2. Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets
3. Nyumba Ina Gorofa 1 Nzuri Sana
4. Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu
5. Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambayo ni 10 by 5 Vipimo
6. Nyumba Ina Mabafu ma 4 na vyoo 4
7. Nyumba Ina Servant Kota yenye Chumba Cha kufulia nguo pamoja na Home Office na Choo na Bafu vya nnje na pia Ina Chumba Cha kuhifadhi mashine ya Swimming pool
8. Nyumba Ina Electric Fence pamoja na Kibanda Cha Mlinzi Getini
9. Nyumba Ina Telecommunication Yani Simu za kuwasiliana ndani ya Nyumba katika Kila mahali
10. Nyumba Ina jiko la ndani lenye Stoo yake pamoja na Dining room
11.Ukubwa Wa Eneo: Square Meter za kiwanja chote ni 694
Bei : 350 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 50,000/=